Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIPANGO YA MAENDELEO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM.



Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Anna Abdallah akifurahi jambo wakati alipokuwa anakagua na kamati yake ujenzi wa makao makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linalojengwa Tazara Mchicha, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (aliyevaa tai) akiwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama wakati walipokuwa wanakagua ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kushoto-aliyevaa tai) akiwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama wakati walipokuwa wanakagua ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama na maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati kamati hiyo ilipofanya ziara ya ukaguzi wa mipango ya maendeleo ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Anna Abdallah akizungumza na maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Kamati hiyo ilifanya ziara ya ukaguzi wa mipango ya maendeleo ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam jana. Aliyevaa tai ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.


PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top