Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE AFUNGUA CHUO CHA TEHAMA VETA KIPAWA NA AWEKA JIWE LA MSINGI KUZINDUA UJENZI WA TAASISI MIFUPA NA MISHIPA YA FAHAMU HOSPITALI YA MUHIMBILI DAR ES SALAAM LEO


 
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Elimu Dkt.Shukuru Kawambwa(kulia),Balozi wa Korea ya Kusini Mhe.Chung (wapili kulia),Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Sadik Meck Sadik(Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA Injinia Zebadia Moshi (kushoto) wakikata utepe kufungua rasmi Chuo Cha TEHAMA VETA huko Kipawa jijini Dar es Salaam leo .Picha na Freddy Maro
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Elimu dkt.Shukuru Kawambwa(kulia) na Balozi wa Korea ya Kusini Mhe.Chung wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Chuo cha TEHAMA VETA Kipawa jijini Dar es Salaam leo mchana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi ujenzi wa awamu ya tatu ya jengo la Taasisi ya magonjwa ya mifupa na mishipa ya fahamu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam leo asubuhi leo asubuhi.Kulia ni Nabu Waziri wa Afya Dr.Seif Rashid. Picha na Freddy Maro
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top