Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TWIGA CEMENT YAZINDUA MRADI WA KOKOTO ZA KUJENGEA


Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji,Dkt. Mary Nagu akikabidhi Cheti cha uwekezaji cha mradi wa kokoto za kujengea wa Twiga Cement, kwa Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Prof Harald Braun, wakati wa hafla fupi iliofanyika jijini Dar es Salaam mwshoni mwa wiki. Wengine katika picha kutoka (kushoto) ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TIC,Raymond Mbilinyi, Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Pascal Lesoinne, Katibu wa Wizara ya Sayansi na Uchumi Ujeruman,Anne Ruth Herkes na Balozi wa Ujeruma nchini Tanzania, Klaus Peter Brandes.
Waziri katika Ofizi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Pascal Lesoinne, alipokwenda kukabidhi cheti cha uwekezaji cha mradi wa kokoto za kujengea wa Twiga Cement kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani, Prof. Harald Braun (hayupo pichani)kwa niaba ya kampuni hiyo kilichotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) katika hafla ya uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TIC,Raymond Mbilinyi.
Baadhi ya wageni waliohudhuria uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam.
Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu (katikati) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Twiga Cement, Pascal Lesoinne (kulia),wakiwasili katika hafla ambayo Waziri Nagu alikabidhi cheti cha uwekezaji cha mradi wa kokoto za kujengea wa Twiga Cement kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujerumani, Prof. Harald Braun (hayupo pichani)kwa niaba ya kampuni hiyo kilichotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakati wa uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Rasilimaliwatu wa Twiga Cement, Jayne Nyimbo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Raymond Mbilinyi.
 
Imechotwa: Mafoto Web
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top