15Friday, May 10, 2013

POLISI WAUA TARIME MTOTO WA MIAKA 9 KWA RISASI; TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

 


Haya ndiyo yaliyofanyika Tarime Jana mtoto wa miaka 9 kuuuwa na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba na kuuwa watu mpaka mwa Tanzania na Kenya

1 comment:

  1. jamani watanzania tunaenda wapi kwa hali hii? hiki nikitendo cha kinyama walichokifanya askari wetu na kinapaswa kulaaniwa vikali sana; Ee mungu ilaze mahali pema roho ya marehemu

    ReplyDelete