Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NDGSHILATU BLOG NA SHILADEUX BLOG KUSHIRIKI SHINDANO LA BLOG AWARDS 2013


Kila mtu anakiri ubora wa huduma zetu za upashaji habari za kueleimisha na kuburudisha ambapo Blogs zetu zimefanikiwa kuvuma kitaifa kwa kiwango kikubwa na hata kuvuka mipaka kwa zaidi ya nchi 140+ Duniani kote.

Dhamira yetu ni kushiriki shindano hili ambapo ewe Mtazamaji wetu tunakupa fursa ya kupendekeza Blog ya http://www.ndgshilatu.blogspot.com na http://www.shiladeux.blogspot.com kuzichagulia category za kushiriki ili itakapofika siku ya kupiga kura, tunakuomba ufanye hivyo.

Kwa taarifa iliyopo ni kuwa mapendekezo ya kushiriki yataanza Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki.
Kwa maelezo zaidi tembelea hii blog : 
http://tanzanianblogawards.blogspot.com na cha muhimu, zaidi ikifika terehe hiyo ya 17 august, pendekeza blog za http://www.ndgshilatu.blogspot.com na http://www.shiladeux.blogspot.com , na ikishapitishwa, utahitajika kuipigia kura tarehe September 8th - 14th, 2013 .
Tunaamini,  tunastahili kushiriki na kushinda, lakini yote hayo yanategemea ewe  mpenzi wa blog hii, kwa kupiga kura siku ikifika na kuwafahamisha  wengine wapigie kura blog zenu za
http://www.ndgshilatu.blogspot.com na http://www.shiladeux.blogspot.com
Tupo pamoja  Usisahau ikifika tarehe 17th August, pendekeza blog hii, kuna fomu zitapatikana kwenye mtandao huu wa
http://tanzanianblogawards.blogspot.com



Unaweza kupendekeza blog katika vipengele vingi upedavyo lakini katika kila email unayotuma ni blog moja tu utaruhusiwa kuipendekeza kwa wakati mmoja

mfano:  Kwenye subject unaandika jina la blog unayotaka kuipendekeza 

              tanzanianblogawards.blogspot.com

Kwenye body ya email unaandika vipengele unayotaka blog hiyo ishirikishwe

Best Agriculture
Best Beauty/Fashion Blog

etc etc  

4. Email iwe ni ya ukweli kama tukiwa tunataka kuwasiliana na wewe kuhusu link ya blog uliyopendekeza tuweze kufanya hivyo na tuma mapendekezo yako kwa hii hapa
Email


nomination@bloggersassociationoftanzania.com au tanzanianblogawards@gmail.com

5. Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki


Vipengele  vinavyoshindanishwa ni: -

Best Business Blog
Best Creative Writing Blog
Best Design/Graphic Design Blog
Best Educational Blog
Best Entertainments
Best General Blog
Best Inspiration Blog
Best Newcomer Blog
Best News Blog
Best Photography Blog
Best Political Blog
Best Sports Blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top