Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWSSS .. WAANDISHI WA HABARI WAZIDI KUPATWA NA MAJANGA .. MWANDISHI WA MWANANCHI MOROGORO AFARIKI DUNIA


 

Mwandishi wa gazeti la Mwananchi mkoani Morogoro, Venance George, amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Venance aliugua ghafla na kulazwa katika hospitali ya AghaKan Morogoro na amefariki dunia kutokana na kusumbuliwa na tumbo.
Habari zilizoifikia Tajoa , zinaeleza kuwa mipango ya mazishi inaandaliwa na kwamba umma utajulishwa.

 Ndgshilatu inatoa pole kwa tasnia, familia ya Venance na zaidi sana Mwananchi kwa kupoteza mwandihsi mahiri.

Bwana alitoa, Bwana alitwaa, Jina lake lihimidiwe


Chanzo: Tanzania Journalists Alliance (TAJOA)

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top