Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HOSPITALI ZA TUMBI, MOROGORO NA USALAMA BARABARANI ZANUFAIKA NA MSAADA WA TBL


 AFISA Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Dorris Malulu (kulia) akikabidhi hundi yenye thamani ya sh. Mil. 13 kwa Daktari wa Upasuaji katika hospitali ya  Tumbi Kibaha, Pwani,hiyo Dkt. Petter Datan, katikati ni Mkuu wa Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani mkoani Pwani Nassoro Sisiwaya katikati ni mmoja wa madaktari wa hospitali hiyo. PICHA NA MWENGE SAID.
Mganga mkuu wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro dk Godfrey Mtey kushoto akipokea mfano wa hundi kutoka kwa Afisa Uhusiano wa kampuni ya bia ya TBL, Doris Malulu yenye thamani ya sh14.6 milioni ili kuweza kutumika wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani ikihusisha madereva wa nagari kupima afya katika mizani ya Mikese mkoa wa Morogoro, katikati ni Mkuu wa usalama barabarani mkoa wa Morogoro, Boniface Mbao.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top