Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA VYAENDELEA NA MAZOEZI KWA AJILI YA MAADHIMISHO YA MUUNGANO APRILI 26 KWENYE UWANJA WA UHURU


Vikosi vua ulinzi na usalama vikiwa katika mazoezi makali kwenye uwanja wa Uhuru leo kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania  ulioasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume waliounganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 na kuwa Tanzania huru , Sherehe hizo zitaadhimishwa Aprili 26 mwaka huu kwenye uwanja wa Uhuru Mgeni rasmi akiwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) 2 
Katibu Mkuu Kiongoziwa Tano kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Kiongozi Dr. Frolence Turuka wa nne kutoka kulia na maafisa mbalimbali wa majeshi ya ulinzi na usalama wakijumuika pamoja kushuhudia mazoezi hayo ya vikosi vya ulinzi na usalama kwenye uwanja wa Uhuru leo. 4 
Mazoezi ya vikosi hivyo yakiendelea. 6 
Kikosi cha Askari wa msituni kikifanya mazoezi ya kutoa heshima kwa Amiri jeshi mkuu. 7 
Kikosi cha makomandoo kikitoa heshima
8 
21
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top