Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MIILI YA NDEGE YA MALAYSIA YASAFIRISHWA


Ndege ya Uholanzi iliyobeba miili 16 ikiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kharkiv, Ukraine kuelekea nchini Uholanzi.
Miili ikiwa tayari kupakiwa kwenye ndege kuelekea Uholanzi.
Baadhi ya maofisa wakipiga saluti wakati miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ya Malaysia MH17 ikipelekwa kwenye ndege.
Mmoja wa mwili ukiingizwa kwenye ndege.
Miili ikiletwa tayari kupakiwa katika ndege.
Zoezi la kupakia miili likiendelea.
Ndege aina ya Boeing C-17 iliyobeba miili ikijiandaa kuondoka Eindhoven kuelekea eneo lililoandaliwa kupokea miili hiyo.
NDEGE zilizobeba miili ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ya Malaysia MH17 zimeondoka kutoka Ukraine kuelekea nchini Uholanzi kwa ajili ya kutambuliwa.
Katika ajali hiyo iliyotokea Julai 17 mwaka huu, jumla ya watu 298 walipoteza maisha huku 193 wakiwa raia wa Uholanzi.
Maofisa wa Uholanzi wanadai kupokea jumla ya miili 200 kutoka kwa wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi japo wapiganaji hao wanadai kupakia miili iliyokamilika 282 na viungo vya miili 16 katika treni iliyopeleka miili hiyo eneo lililo chini ya serikali ya Ukraine huko Kharkiv.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top