Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AMSIFU MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE


 Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wananfunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama Salma Kikwete kwa kitendo cha kuanzisha shule hiyo yenye manufaa makubwa kwa watoto ya kike wanaotoka sehemu mbalimbali nchini kwenda kusoma hapo. Pia alitumia furssa hiyo kuwapongeza walimu wa shule hiyo kwa kazi kubwa wanaoifanya kiasi cha kufanikisha wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana.

  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akiwaimbisha wanafunzi wa shule hiyo wimbo wa 'Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote', uliotungwa enzi hizo na babake Moses Nnauye.
 Mkuu wa shule hiyo, Suma akielezea historia ya shule hiyo inayojuisha watoto wengi yatima

 Wanafunzi wakifurahia pongezi za ufaulu mzuri zilizotolewa na Kinana
 Moja ya majengo ya shule hiyo
Wanafunzi wakishangilia kwa furaha baada ya kuimba bila matatizo wimbo huo.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA.KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top