Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye wakiwasalimia wakazi wa Kibaha mjini wakati
wakiwasili kwenye uwanja wa mkutano .
Kikundi
cha ngoma cha Kisamamwe kikitumbuiza ngoma ya Afrika kabla ya kuanza
kwa mkutano wa hadhara ambapo Katibu Mkuu wa CCM alihutubia wananchi wa
Kibaha mjini.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Kibaha mjini
ambapo aliwaambia wapinzani wamekosa hoja ya msingi kiasi cha kuamua
kufanya maandamano ya kuleta vurugu nchini.
Sehemu ya Umati wa watu wakisikiliza mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Wana CCM wakiwa kwenye mkutano
Mbunge wa Kibaha mjini Silvestry Francis Koka akihutubia wakazi wake na kuwaambia kuwa pamoja na jitihada zote anazofanya maji bado ni donda sugu ila ufumbuzi upo njiani.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibaha mjini
wakati wa mkutano wa hadhara ambapo aliwaambia viongozi wa halmashauri
hawana budi kukaa na wafanya biashara ndogo ndogo kujadili kodi kabla ya
kuwapangia kuona kama wana uwezo wa kulipa ama hapana hii itasaidia
kupunguza lawama na mikingamo baina ya wafanya biashara na halmashauri.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi mara baada ya
kukagua jengo la wazazi katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe leo
wakati alipofanya ziara katika jimbo hilo ikiwa ni mwendelezo wa ziara
yake katika mkoa wa Pwani akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya
CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za
maendeleo pamoja na kuimarisha uhai wa chama, Katibu Mkuu huyo katika
ziara hiyo anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC, Siasa, Itikadi na
Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KISARAWE)Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Nape Nnauye kulia,
na kada wa CCM Bw. Iddi Janguo mara baada ya kukagua ujenzi wa jengo la
wazazi katika hospitali hiyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimjulia
hali mama mmoja anayeuguliwa na mtoto wake ambaye jina lake
halikupatikana mara moja aliyelazwa katika hospitali ya Kisarawe wodi ya
watoto wakati alipotembelea wodi hiyo.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa moja ya
majengo yanayokarabatiwa katika hospitali ya wilaya ya Kisarawe.Moja ya majengo yanayojengwa katika hospitali hiyo.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiJengo jipya linalojengwa katika kata ya PalakaKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa zahanati hiyo katika kijiji cha PalakaKatibu
Mkuu wa CCM akishuhudia jinsi vijana wanavyofyatua matofali ya bei
nafuu mradi ambao umebuniwa na Shirika la Numba kwa ajili ya kupunguza
ukosefu wa ajira kwa vijana.Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali ya
ujenzi wa maabara ya sekondari ya Gongoni Kata ya ManerumangoWananchi wa kata ya Manerumango wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza
Nape Nnauye Katibu wa NEC, Siasa, Itikadi na Uenezi wakati wa mkutano
wa hadhara katika kata ya Manerumango, Katikati ni Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Pwani Mwinshehe Mlao.Mbunge
wa zamani wa Jimbo la Kisarawe Mzee Athman Janguo akisalimia wananchi
huku Katibu wa CCM Mkoa wa Pwani Bi Joyce Masunga akiwa pembeni.Mkuu wa mkoa wa Pwani Mh. Mwantumu Mahiza akizungumza na wana Kisarawe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Manerumango leoNape Nnauye Katibu wa NEC, Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo.Umati uliohudhuria katika mkutano huoKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na kuendesha mahakama ya wazi ya wananchi.Seleman Said Jafo mbunge wa jimbo la Chalinze akizungumza na wananchi wake katika kata ya ManerumangoKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikaliswa kwenye kigoda kama ishara ya upendo na kukubalika.Wana CCM wakila kiapo mara baada ya kupokea kadi zao za uanachama wa CCM
Post a Comment