Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

aina ya magari anayoipenda Fid Q

 
Fid Q Cars I
Rapa staa wa Hip Hop Fid Q, leo saa tatu asubuhi ameuliza swali kwa shabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram (@FidQ) na Twitter kuhusu aina ya gari ambalo shabiki wake angependelea zaidi Fid Q alitumie.

Fid Q ameweka picha za magari hayo akiambatanisha na maneno ya kumuomba shabiki wake amchagulie gari moja kati ya hayo.  Tofauti na ilivyo kwa mastaa wengi kupendelea magari ya kisasa na ya kifahari zaidi, aina ya magari yaliyoonekana katika picha aliyoiweka Fid Q ni yale yaliyotengenezwa katikati ya kipindi cha miaka ya 1955- 1963.
Fid Q 2Fancy Cars
Kazi kwako shabiki wa nguvu, kwa pendekezo lako unadhani rapa Fid Q anastahili gari la mwaka gani kati ya hayo?
Hii ndiyo picha ya aina mbalimbali ya magari anayopendelea Fid Q, ambapo wewe kama shabiki wake wa nguvu una nafasi ya kumchagulie moja ambalo ungependelea alitumie.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top