Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Aunt Lulu Ampa Somo Johari

 

Staa wa Bongo Movies, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumtaka msanii mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kukubaliana na matokeo ya aliyekuwa mpenzi wake Vincent Kigos ‘Ray’ kwamba kwa sasa ana uhusiano na mtu mwingine.

Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty Lulu alimtaka Johari kukubaliana na matokeo na aige mfano wake kwani aliachana na Bond Bin Sinan ambaye kwa sasa ana mpenzi mwingine hivyo asimchukie Chuchu Hans anayetoka na Ray kwa sasa kwani kuachana ni jambo la kawaida katika mapenzi hivyo hatakiwi kuwa na kinyongo.
 
“Mimi nimepitia kwenye maisha hayo ndiyo maana namshauri Johari akubaliane na matokeo kwamba Ray kwa sasa yupo na Chuchu Hans na asiwe na kinyongo naye ampende na aongee naye vizuri tu kwani ndiyo maisha,” alisema Aunty Lulu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top