Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK SHEIN AKIWA KATIKA MKUTANO WA CCM MFENESINI


IMG_2308 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) Mwenyekiti wa Wilaya ya Mfenesini Kichama Mjumbe Msuri wakiwa katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha  Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama nje ya Mji wa Unguja katika mkutano maalum wa kuimarisha Chama kwa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani,{Picha na Ikulu.]
IMG_2372
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani  katika ukumbi wa Tawi la Chuo cha  Mwalimu Nyerere Bububu Kihinani Mkoa wa Magharibi Kichama akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM katika Wilaya ya Mfenesini, {Picha na Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top