Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DAKTARI FEKI AKAMATWA KATIKA TAASISI YA MIFUPA MUHIMBILI ( MOI )

 Anaye daiwa kuwa Daktari feki ,akiwa chini ya ulinzi Dar es Salaam jana, baada ya kuingia katika Taasisi ya Mifupa (MOI) akiwa amvalia nguo ya kazi na akiwa na kitambulisho cha kazi na kujifanya yeye ni Daktari  wa Taasisi hiyo .Baada ya kukamatwa na askari alikutwa na vitu mbalimbali kama vile nyaraka za Serekali,(PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Daktari feki aitwaye Dismas Macha amekamatwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) akiwa amevaa sare za kazi kama Daktari ambapo hii inakuwa mara ya pili kukamatwa akiwa anachangisha rambirambi kwa Madaktari akidai kuwa amefiwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo ya MOI, Dk Othman Wanin Kiloloma amesema; “Tumekuwa tuna tatizo kubwa la kuletewa watu wanaokuja wao na kujitia ni madaktari wakiomba watu pesa, wakiomba waweze kupewa takrima na hata michango mingine na wamefikia hatua sasa ya kuwatapeli hata madaktari wenyewe kwa kuomba michango na vitu vingine
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top