Vita
iliyoanza Jana saa 3 usiku baada ya idris sultan wa Tanzania kuchukua
ushindi kule kwa madiba hali iliyopelekea Davido kupost post ya utata
kule ‘twita’ iliyotafsiriwa kama kejeli kwa Watanzania. Davido alipost
sentensi ‘N they cheat again lol’, post hiyo ilipelekea Diamond kureact
kujibu na pia baada ya muda Diamond alipost picha ya tuzo nyingine
aliyoishinda Jana usiku huo huo wajana katika ardhi ya Nigeria lagos na kuandika ‘thanks GOd we cheated again’.
Sasa Leo vita hiyo imefika pabaya kati ya wanaigeria na Wa-Tz, matusi ya Watanzania kule instagram na ‘twita’ yamewashika Wanaigeria sasa nao wamecharuka vibaya kujibu mapigo kwa kuchora katuni mbali mbali za kejeli na kuwaita Watanzania majina kama Tanzarats, Beggers, attentionseekers, Tanzagays na matusi mengine mengi.

Tembelea
akaunti za twita na instagram za davidofficial na diamondplatnumz ukaone
laana za matusi ya maelfu ya Wanaigeria kwa Diamond na maelfu ya matusi
ya wa-Tz kwa Davido.
Je,hii itatujenga au itatubomoa kwa upande wetu?
Twitter Battle: Diamond Vs Davido
Davido’s Twitte
Post a Comment