Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUYU NDIYE KIJANA ALIYEKAMATWA WAKATI AKIJIPANGA KUFANYA SHAMBULIO KAMA AL SHABAAB KANISANI!!



Huyu ndiye mwanamama aliyeuliwa na gaidi huyo
Polisi nchini Ufaransa wamefanikiwa kuvunja jaribio la shambulizi la kigaidi huku mtuhumiwa mmoja akikamatwa.
Waziri wa mambo ya ndani wa Ufaransa Bw. Bernard Cazeneuve amesema mtuhumiwa huyo ana umri wa miaka 24 na ni mwanafunzi wa teknolojia ya habari.
Uchunguzi umeonesha kuwa Jumapili iliyopita mtuhumiwa huyo alikamatwa na polisi wakati akijaribu kushambulia makanisa jijini Paris.
Polisi wamesema mtuhumiwa huyo pia anahusika na mauaji ya mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 33.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top