Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TANZIA:PIGO ZITO CLUB YA EVERTON!!,POLENI MASHABIKI KWA MSIBA HUU MZITO!!


Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa soka duniani hasa wa klabu ya Everton na uongozi mzima kuhusu aliyekuwa rais wa heshima wa klabu hiyo Sir Philip Carter.
Carter ambaye ni mmoja wa waasisi wakubwa ambao waliisaidia timu hiyo hadi kufikia hapa ilipo, Taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu hiyo imethibitisha kuwa Rais huyo amefariki dunia akiwa na miaka 87 na umauti umemkuta akiwa nyumbani kwake leo asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Rais huyo alikua mshabiki wa timu hii tangu akiwa mtoto ambapo mwaka 1973 alijiunga na timu kama mkurugenzi na mwaka 1978 akawa Mwenyekiti wa timu.
Wakati wa uongozi wake kama mwenyekiti akiwa na meneja wake Howard Kendall,Carter , alishinda mataji ya FA cup mwaka 1985 na 1987, 1984 na Kombe la Ulaya 1985.
Alichaguliwa kuwa Raisi wa heshima wa maisha wa timu ya Everton mwaka 2004.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top