Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WEMA SEPETU ANA MAANA GANI KUPOST PICHA HIZI ENZI AKIWA KIMAHABA NA DIAMOND??..YEYE AFUNGUKA NA KUSEMA YAFUATAYO



 PICHA chafu zinazomwonesha Miss Tanzania mwaka 2006, mwenye vituko kila kukicha Wema Isaac Sepetu, ambaye yuko katika uchumba na msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond’, zimenaswa ‘live’ katika moja ya mitandao ya kijamii, Risasi Mchanganyiko lina ushahidi mkononi. Picha hizo zinamuonesha mrembo huyo akiwa amelala kitandani katika staili mbalimbali huku kuanzia shingoni kwenda chini akiwa hana nguo. Katika picha moja mlimbwende huyo wa Bongo anayesumbua katika filamu kwa sasa, ameweka kiganja cha mkono wenye kidole chenye pete ya uchumba aliyovishwa wiki kadhaa zilizopita. ZIMESAMBAA HADI MAREKANI? Picha hizo zilisambaa kwa haraka Jumapili Novemba 6, mwaka huu kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook, BMM huku wengine wakitumiana kwenye waraka pepe. Mdau mmoja wa mambo ya kijamii, Jumapili jioni aliliambia Risasi Mchanganyiko kuwa, ana picha hizo na kudai alitumiwa na raf
 iki yake anayeishi nchini Marekani. “Kaka (mwandishi) nina picha chafu za Wema, kuna jamaa yangu anaishi Marekani amenitumia leo (Jumapili),” alisema mdau huyo ambaye aliomba hifadhi ya jina lake. Risasi Mchanganyiko lilimjulisha kuwa tayari picha hizo zipo kwenye droo la dawati lake zikifanyiwa uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama kweli ni Wema au zilitengenezwa. Jumapili hiyo hiyo saa mbili usiku, gazeti hili lilipokea picha nyingine kutoka kwa msomaji wake mmoja wa kike ambaye naye alidai ametumiwa na shoga yake (jina tunalo) anayeishi jijini Dar es Salaam. WEMA ANANGA ‘WABAYA’ WAKE Kinachoonekana ni kwamba, baada ya picha hizo kusambaa, Wema alipata habari, akachukua picha moja (angalia picha kubwa ukurasa wa kwanza) na kuiweka kwenye mtandao wa Black Berry Messengers ‘BBM’ katika simu yake kisha akaandika: “Kuweka waweke wengine, akiweka Wema tatizo, uzuri hii picha hata baby wangu (Diamond) anaijua.” Hapa alimaanisha kuwa ‘wabaya’ wake wanamfuatafuata kwa kuzianika picha zake mtandaoni. WEMA APUUZA ONYO Novemba 2, 2011 saa 5 asubuhi, mdada mmoja (jina tunalo) aliliambia Risasi Mchanganyiko kwamba alikutana na Wema maeneo ya Kijitonyama, jijini Dar es Salaam na kubahatika kuishika simu ya staa huyo na kushtuka baada ya kuona picha chafu za staa huyo. Alisema, aliona picha chafu za Wema akiwa kitandani peke yake, nyingine yupo na Diamond, akamuonya kuwa siku simu hiyo ikipotea, atakuwa amejianika katika jamii, lakini Wema hakuonesha kujali, akisema hawezi kupoteza simu yake kwa sababu yuko makini. Risasi Mchanganyiko, juzi (Jumatatu) lilimsaka Wema kwa njia ya simu ili kujua nini kilitokea hadi picha hizo zikasambaa kwa kasi, lakini simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top