Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHADEMA YAZINDUA KAMPENI JIMBO LA KALENGA


Na Mathias Canal, Iringa 
Vijijini Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kupitia Umoja wa katiba ya Wananchi {UKAWA} kimezindua kampeni zake katika Jimbo la Kalenga lililopo mkoani Iringa kwa muktadha wa kuanza vyema mikikimikiki ya kumnadi mgombea wake ambaye mara kadhaa amesikika akisema jimbo hilo limekosa muwakilishi wa wananchi bungeni.   

Chadema/ukawa inataraji kuanza kampeni zake za kumnadi mgombea wa Urais, wagombea ubunge, na udiwani mara baada ya uzinduzi wa kampeni zinazotaraji kufanyika mwishoni mwa wiki hii.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top