Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MUUAJI WA WATANGAZAJI MAREKANI AJIUA

               


2BAEDA9000000578-0-image-m-11_1440643472151
Muuaji wa waandishi wawili wa kituo cha TV WDBJ, Vester Lee Flanagan, akitangaza katika kituo hicho kabla ya kufukuzwa kazi.
MAREKANI (1)
Mtangazaji wa kituo cha  TV WDBJ, Alison Parker, enzi za uhai wake.
MAREKANI (9)
Mpiga picha, Adam Ward, enzi za uhai wake.

MAREKANI (5)
Watangazaji waliouawa (kushoto na kulia) wakiwa katika mahojiano ya moja kwa moja kabla ya kupigwa risasi na Vester Lee Flanagan.
MAREKANI (8)
...Vester Lee Flanagan akifyatua bastola yake.
NATIONAL PICTURES Scrren grab of suspected shooter involved in the shooting dead a camerman and reporter live on air. Cameraman Adam Ward and reporter Alison Parker were shot dead during a live broadcast at Bridgewater Plaza near Smith Mountain Lake, USA.                         Flanagan  akiwa ameshika bastola wakati akifanya mauaji hayo.MAREKANI (12)
...Gari la Flanagan limepaki katika jimbo la Virginia baada ya kujiua mwenyewe.
MAREKANI (13)
Polisi wakiwa eneo la tukio.
MAREKANI (14)
Eneo ambalo watangazaji walipokuwa wakiendesha kipindi hicho.
MAREKANI (15)MAREKANI (16)
Wananchi wa jimbo la Virginia wakiwaombea marehemu hao.
Polisi nchini Marekani imesema muuaji wa waandishi wawili wa kituo cha TV WDBJ, Alison Parker na mpiga picha, Adam Ward nchini Marekani amefariki. Ujumbe unaoonekana kutumwa na mtu aliyekuwa na silaha nchini Marekani na kuwaua kwa risasi watangazaji hao wawili wa televisheni wakati wa matangazo ya moja kwa moja unaashiria kwamba alikuwa na uchungu kwa kinachoonekana kuwa ubaguzi wa rangi.
Vester Lee Flanagan, aliyefutwa kazi katika kituo hicho cha televisheni alifariki baada ya kujipiga risasi, saa chache baadaye.
Msimaizi wa kituo hicho cha televisheni alimtaja mshambuliaji huyo kuwa mtu asiyekuwa na furaha ambaye ilikuwa vigumu kufanya naye kazi.
(CREDIT: DAILY MAIL)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top