Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

YALAAAAAAH UWIIIIIII ..... LOWASSA ATIKISA MWANZA .... MAMIA WAZIMIA KUTOKANA NA MSONGAMANO WA WATU



Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.tayari kwa Mkutano wa Kampeni.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, leo Oktoba 12, 2015.
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, akiwasalimia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015. 
 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akikumbatiana na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipowajili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiteta jambo na Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipowajili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
Wananchi wa Jiji la Mwanza wakiitikia salam ya "Mabadilikoooo" katika Mkutano wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
Meneja wa Kampeni za Chadema, John Mrema akiongoza Mkutano huo leo.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Juma Duni Haji, akiwasalimia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akisalimia na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nyamagana kwa tiketi ya Chadema, Hainesy Kiria akihutubia wananchi wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Furahisha, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 12, 2015.
Mwenyekiti mwenza wa UKAWA ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR - Mageuzi, James Mbatia akiwahutubia wananchi huku akiitumia rasimu ya Katiba Inayopendekezwa, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12, 2015.

Credit: othman michuzi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top