Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

James Lembeli naye ndani ya mahakama kuu

Hatimaye aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha Chadema jimbo la Kahama mjini Mh.James Lembeli amefungua kesi katika mahakama kuu kanda ya Shinyanga kupinga matokeo ya kura za ubunge jimboni hapo katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 25 mwezi wa kumi mwaka huu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top