Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS WA MAGUFULI AMEFUTA SHEREHE NYINGINE

 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli  Ametangaza kufuta Sherehe za   siku ya Ukimwi..Rais Magufuli Pia Ameagiza Pesa zote zilizotakiwa Kwenye Sherehe hizo Zitumike Kununulia Dawa.Ikumbukwe Tarehe 1 December  Kila Mwaka Huwa ni Siku ya Ukimwi Dunia.Sherehe hizo zilikuwa Zifanyike Kitaifa Mkoani Singida 
Taarifa Hizo zimetufikia Jioni hii japo Maandalizi yalikuwa yameshafanyika na Mkuu wa Mkoa alikwishafungua Maonyesho Kuelekea Kilele cha Siku hiyo CHANZO : CHANEL TEN
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top