Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HABARI MBAYA KWA WATUMIAJI WA FACEBOOK MESSENGER

Kama unatumia programu ya Facebook Messenger, unaweza ukashituka kwa habari hii. Programu hii inaruhusu kurekodiwa kwa sauti, picha na video zako kwa wakati wowote.

Pia programu hii inaweza kuwapigia watu(make a call) kwa niaba yako.

Kama unatumia programu hii, download tena na usome terms of agreement.

Ukisoma terms of agreement utagundua kwamba hili kampuni kubwa la kijamii linatumia microphone zao kwa kurekodi sauti, video na picha mda wowote wanapojisikia wao kufanya hivyo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top