Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MEYA WA JIJI DAR AELEZEA SHERIA MPYA YA KUINGIA GUEST



Ijumaa ya May 6 2016 kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii hususaniWhatsapp najua utakuwa ulipokea ujumbe ambao ulikuwa unaripotiwa kuwa umetoka kwa meya  wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita, ujumbe uliokuwa umeenea ulikuwa unahusisha kuwa meya wa Dar es Salaam Isaya Mwitaametangaza sheria mpya.
Meya Isaya Mwita ameongea na kueleza kuwa ujumbe unaoenea kuwa ametangaza sheria mpya Dar es Salaam sio wa kweli na umetungwa na watu ambao wanapanga kumchafulia jina lake.
ADAS
Ujumbe wa uongo ambao ulisambazwa leo May 6 2016 na kudaiwa umetoka kwa meya wa Dar es Salaam
“Sio kweli kuwa kuna sehemu nimetoa statement ya namna hiyo ila huyo atakayekuwa ameandika atakuwa na lengo tofauti, kwa hiyo naomba wananchi wapuuze hiyo statement ambayo imekuwa ikisambaa, bahati mbaya sikuwahi kupata mtu akiuliza maoni yoyote kuhusiana na tukio hilo la Kimara ila kwa upande wangu sijatoa tamko lolote”
Kama utakuwa unakumbuka vizuri usiku wa May 1 2016 iliripotiwa habari za mwanamke kuuwawa na mtu anayeaminika kuwa ni mpenzi wake kwa kudaiwa kuwekewa sumu kwenye chakula na mwanaume kuondoka kwa kumuaga mlinzi kuwa anaenda kununua vocha.
Unaweza sikiliza hapa sauti ya meya wa jiji la Dar es Salaam
Ayo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top