Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

GHARAMA ZA USAFIRI WA ANGA KUPUNGUA

Gharama za usafiri wa anga nchini Tanzania zinatarajiwa kupungua hii ni kutokana na serikali kujiandaa kuliwezesha Shirika la Ndege nchini, (ATCL), kuwa na ndege zake lenyewe.

Gharama za usafiri wa anga nchini Tanzania zinatarajiwa kupungua hii ni kutokana na serikali kujiandaa kuliwezesha Shirika la Ndege nchini, (ATCL), kuwa na ndege zake lenyewe.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prf. Makame Mbarawa ,mara baada ya kukagua kiwanja cha ndege cha nduli Mkoani Iringa na kubainisha kuwa kwa mwaka wa fedha 2016/17 kiasi cha shilingi bilioni 500 zimetengwa kwa ajili ya ununuzi wa ndege tatu.

Aidha Prof Mbarawa amemuagiza Meneja wa uwanja wa ndege wa Nduli Mkoani Iringa Bi Hana Kibupile kuhakikisha kwamba uwanja wa ndege wa Iringa unafanya kazi katika viwango vinavyokubalika kimataifa ili kuvutia wasafiri wengi wanaoelekea hifadhi ya Ruaha kutumia uwanja huo na hivyo kukuza uchumi wa nchi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top