Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LEO NI SIKU MUHIMU YA KUZALIWA KWA MDAU HUYU ....LEO NI SIKU YA KIPEKEE NA YA KIHISTORIA KWA MDAU MKUBWA SANA WA NDGSHILATU BLOG AMBAYE ALIKUWA "FOLLOWER" WA KWANZA KABISA WA BLOG HII WAKATI INAANZISHWA HASHIMU MAPENGO a.k.a MP JUNIOR AMBAYE LEO HII NI SIKU YAKE YA KUZALIWA .
 
BLOG HII ILIWASILIANA NAE NA AKAMSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWA KUMWEZESHA KUSHEHEREKEA SIKU YAKE AKIWA MZIMA WA AFYA TELE NA PIA KUWATAKIA WATU WOTE RAMADHANI NJEMA.
 
"NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUNIJALIA UZIMA NA AFYA TELE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YANGU YA KUZALIWA. SHUKRANI KWA WOTE WALIOCHANGIA KUFIKA HAPA NILIPONILIPO NA NINAWATAKIA MFUNGO MWEMA WA RAMADHANI." ALISEMA MAPENGO
 
TUNAMTAKIA AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU MDAU WETU MP JUNIOR
 
UTAWALA NDGSHILATU BLOG
Download Our App

2 comments

Thanks ndgshilatu.blogspot.com kwa kunikumbuka kipekee kabisa...pia nakutaia maisha marefu brother

Reply

Thanks ndgshilatu.blogspot.com kwa kunikumbuka kipekee kabisa...pia nakutaia maisha marefu brother

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top