Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWANAMITINDO HAMISA MOBETTO AUMIZWA NA MTOTO

Mwanamitindo Hamisa Hassani Mobeto, amekataa kuzungumzia mgogoro unaodaiwa kuendelea kati yake na staa wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ huku akionyesha kuchukizwa na jinsi mwanae anavyohusishwa katika mambo yasiyo muhusu.


Hamisa Mobeto akiwa na mtoto wake
Akizungumza na Bongo5 Alhamisi hii, Mobeto amesema mtoto wake hana hatia yoyote katika mambo yanayoendelea katika mitandao ya kijamii.
“Issue ya Lulu sijui na Majay siwezi zungumzia, kitu ambacho kinaniumiza ni kumwingiza mwanangu kwenye haya mambo, na mtoto wangu anakuwa anajumlishwa katika mambo ambayo hayamuhusu kabisa na hakupaswa kuhusishwa,” alisema Mobeto. Kwa hiyo hakuna mzazi ambae angekubali mwanaye azungumziwe hivyo au aongelewe kwenye mambo yasio mazuri,”
Aliongeza,” Ningekuwa sina mtoto wala nisinge umia lakini kwa sababu kuna mtoto ambaye hana hatia wala hajui kinachoendelea, so sipendi hiki kitu,”
Katika mitandao ya kijamii mashabiki wa Lulu na Hamisa wamekuwa wakitupiana maneno huku chanzo kikidaiwa ni Majay, lakini Hamisa alikataa kuzungumzia chochote kuhusu mpenzi wake huyo wa zam
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top