Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NYAMA YA MBWA YAMPELEKA JELA



Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Zackaria Mswaki (pichani) amehukumiwa na mahakama ya mwanzo Mlalo lushoto mkoani Tanga  kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa akiuza nyama ya Mbwa ambapo asilimia kubwa ya watu katika mji huo mdogo uliopo wilaya ya lushoto walinunua nyama hiyo na kula bila wao kujua. mshtakiwa amekiri shtaka mbele ya mahakama  na kudai ugumu wa maisha ndio chanzo cha kufanya hivyo  mshatakiwa amepelekwa Gereza la wilaya lushoto kutumikia adhabu Yake  huku akiwa  amewaacha wananchi wa mji huo na butwaa  pamoja na hasira ya kuwalisha nyama ya mbwa
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top