Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WALIOANDAMANA UDSM WAKALIA KUTI KAVU

Dar es Salaam. Wanafunzi walioandamana Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakishinikiza malipo yao ya fedha za kujikimu juzi, huenda wakakumbwa na hatua za kinidhamu.

Wanafunzi hao huenda wakaadhibiwa kwa kosa la kukiuka sheria ndogo ya chuo kwa kuandaa mkusanyiko bila kibali cha menejimenti.

Hayo yalisemwa jana na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma), Florens Luoga.

Alisema mamlaka za nidhamu chuoni hapo zinaendelea na uchunguzi kubaini nani aliyehusika katika tukio hilo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top