Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WANACHAMA WA YANGA WAPIGA KURA KUWACHAGUA VIONGOZI WAO

 Wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Klabu ya Yanga, wakiwa tayari kwa kazi hiyo ya uchaguzi unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam.
 Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akiandikishwa na Msimamizi wa Uchaguzi huo, unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam.
Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akitumbukiza karatasi kwenye sanduku la kupigia kura, katika unaofanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Jijini Dar es salaam.
 Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga, Hans van Pluijm nae ni Mmoja wa Wanachama wa Yanga wanaopiga kura leo kuchagua uongozi mpya wa Klabu hiyo.
Wanachama wakipiga kura.
 Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji akifurahia jambo na Mlezi wa timu ya Yanga,Mama Shadya Karume mapema leo ndani ya ukumbi wa Diamond kabla ya uchaguzi kufanyika
Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji   akisoma hotuba yake fupi kupitia simu yake ya Kiganjani mbele ya mamia ya wanachama waKlabu hiyo ya Yanga (hawapo pichani),mapema leo mchana kabla ya uchaguzi kufanyika
Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yussuf Manji  pichani kulia akiteta jambo na Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga, Hans van Pluijm  
 Baadhi ya Wanachama wakisubiri kupiga kura kuwachagua viongozi wao
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top