Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS... KIWANDA CHA POLISTER KINAUNGUA MOTO

Kiwanda cha nguo ambacho ni moja ya viwanda vichache vinavyo fanya kazi ambapo kwa sasa kilikua kinatengeneza khanga na vitenge vilivyoanzishwa na baba wa taifa mwalimu julias nyerere kimeungua moto asubuhi ya leo.

Mpaka sasa bado moto unaendelea karibu nusu ya kiwanda kimeteketea na magari ya zimamoto yameishiwa maji, wanaendelea kufuata maji mengine na jeshi la polisi limelazimika kutia maji ya katika gari ili kuongeza nguvu kuuzima moto.Taarifa zaidi tujiunge katika taarifa ya habari ya Channel ten
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top