Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NANI MBABE WA NDONDO CUP LEO

Dar es Salaam. Safari ya mashindano ya Ndondo Cup iliyoanza  miezi mitatu iliyopita, inafikia tamati leo kwa mchezo wa fainali kati ya Kauzu FC dhidi ya Temeke Market.

Mchezo wa leo unaotarajia kuwa na ushindani wa aina yake utapigwa kwenye Uwanja wa Bandari uliopo Temeke na unatarajiwa kuvuta mashabiki wengi wa soka jijini Dar es Salaam.

Gazeti la Mwanaspoti ambalo ni miongoni mwa wadhamini wa mashindano hayo limeahidi kuwaletea habari motomoto kupitia jarida maalumu kwa ajili ya mashindano hayo.

Mwandishi mwandamizi wa gazeti hilo linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communication Limited, Badru Kimwaga amesema jarida la leo litakuwa na mjumuiko wa matukio yaliyojiri katika mashindano hayo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top