Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TETESI MPYAA ... MBUNGE CCM, HALIMA BULEMBO ADAIWA KUFUNGA NDOA NA ZITTO KABWE KIMYA KIMYA.... HALIMA AELEZEA NDOA HIYOTAARIFA ya Halima Bulembo

Kuna picha inasambazwa ikiambatana na maelezo kwamba eti nimefunga ndoa ya siri na Zitto Kabwe tarehe 11 July mwaka huu. Ili iwe nini? Watu wanapenda sana umbea. Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.

Naomba kuwataarifu ndugu, jamaa, marafiki, wanachamana viongozi wenzangu wa CCM na watanzania wote kwa ujumla kwamba  mimi HALIMA BULEMBO sijafunga ndoa ya aina yeyote na mtu yeyote yule. Nitaolewa Inshaallah.


NB: Nampongeza sana Alietengeneza Picha yangu,Ningeshauri atengeneze na ya huyo mume ili story yake ikamilike vizuri.

HALIMA BULEMBO,
Mbunge wa Viti Maalum - CCM.
19, Julai, 2016.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top