Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS.... MBOWE AMFUATA SPIKA NDUGAI NYUMBANI KWAKEKiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe leo Jumatano  03/08/2016  amemtembelea Spika wa Bunge la Jamuhuri  ya Muungano  wa Tanzania, Mhe. Job Yustino Ndugai nyumbani kwake Salasala jijini Dar es salaam, ambae amerejea hivi karibuni  kutoka nchini India ambako alikwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top