Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Aliyeteka mabinti akawabake auawa

Kibaha. Mkazi wa Kibaha, Michael William maarufu ‘Michael Dada’ ameuawa kwa kupigwa na wananchi katika msitu wa Shirika la Elimu Kibaha kutokana na tuhuma za kuteka watoto wawili wa kike kwa lengo la kuwabaka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Boniveture Mushongi alisema jana kuwa mtuhumiwa huyo aliuawa Alhamisi saa 10:00 jioni.

Alisema Michael Dada anadaiwa kuwateka watoto hao ambao ni wanafunzi wa darasa la nne wa Shule ya Msingi Kibaha na mwingine wa Shule ya Awali ya Mama Kawili mchana wakati wanacheza jirani na nyumbani kwao.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top