Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS ... Magari ya kitanzania yachomwa moto nchini Kongo

Serikali imepokea Taarifa za kutekwa kwa Maroli 12 katika eneo la Namoyo Jimbo la Kivu kusini Jamuhuri ya Kongo, Jana tarehe 14 September 2016 kati ya maroli hayo 8 yanamilikiwa na wafanyabiashara wa tanzania Azam, Dewji, na mengine yanayo milikiwana wafanyabiashara kutoka Kenya.

kwa taarifa zilizo patikana watekaji ni kikundi cha wahasi wa MAIMAI ambao baada ya kuyateka magari hayo waliwashusha madereva na kuwapeleka porini na kisha kuchoma moto magari 4 ambayo yote yanamilikiwa na Dewj, Wahasi hao wametoa masaa 24 kuanzia jana saa 10 jioni walipwe Fedha kiasi cha Dola 4,000 kwa kila dereva..

Pia Muungwana Blog imefanikiwa kuongea na Mtanzania aliye nusurika kutekwa na wahasi hao amesema hali sio nzuri kabisa wanaiomba serikali ya Tanzania kuchukua hatua za kuwa saidia Watanzania walio tekwa huko..

Hii ni Barua ya Uthibitisho wa Serikali ya TANZANIA..

ONA PICHA ZA SEHEMU YA TUKIO..Chan
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top