Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Chanzo cha ujambazi Lushoto hiki hapa ...

Lushoto. Matukio ya ujambazi yanayoendelea wilayani hapa Mkoa wa Tanga yanadaiwa kusababishwa na malezi mabovu kwa vijana ambao huondoka nyumbani kwa kisingizio cha kwenda kusoma elimu ya dini.

Ofisa Tawala Wilaya ya Lushoto, Godchance Makyao alitoa madai hayo jana katika Kikao cha kawaida cha baraza la madiwani.

Alisema Serikali haikatazi elimu hiyo bali inapinga na kulaani watu wanaotumia mwanya huo kupata mafunzo ambayo athari zake ni wizi na mauaji.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top