Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu awasili Lusaka kushuhudia kuapishwa kwa Rais mpya wa Zambia





Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka mchana huu tayari wa kumwakilisha Rais Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Sita wa Zambia Mhe Lungu uwanja wa Mashujaa kesho Septemba 14, 2016
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top