Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MTANDAO HATARI WA MAJAMBAZI WATATU WANASWA NA SILAHA NZITO ZA HATARI PAMOJA NA SARE ZA JESHI Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionesha moja ya kifaa walichokuwa wakitumia majambazi hao kuangalia wakati wa kufanya uhalifu,mbele ya waandishii wa habari (hawapo pichani) ikiwa ni sehemu ya vifaa vilivyokuwa vikitumika na majambazi.
  Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha bunduki  kwa waandishi wa habari ikiwa ni sehemu ya bunduki zilivyokuwa zikitumika na majambazi sugu .
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akizungumza katika viwanja vya ofisi ya kanda maalum leo jijini Dar es Salaam  na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya operesheni walioifanya na kuwakamata majambazi watatu.
 
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top