Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Muuzaji kivuko Mv. Dar es Salaam akubali yaishe kwa Rais MagufuliMuuzaji wa kivuko cha MV Dar Es Salaam amekubali kurekebisha mapungufu yaliyomo kwa gharama zake kwenye kivuko hicho ili kufanana na mkataba wa mauziano.

- Serikali ilikataa kupokea kivuko hicho kilichogharimu Bilioni 8 baada ya kuwa na mapungufu kadhaa kama yalivyobainishwa na mafundi pamoja na ripoti ya CAG.

Chanzo: JF
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top