Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Prof. Lipumba afunguka mazito kwa mara ya kwanza toka ajiuzuluProf Lipumba akiongea ndani ya power Breakfast kwa mara ya kwanza baada ya kujiuzulu uenyekiti CUF mwaka jana.

 Prof.  Lipumba# "Sababu za msingi za kutomkubali Mh. Edward Lowassa kuingia UKAWA, ni kwamba ukiwa katika siasa unahitaji uongozwe na misingi na 'principals' na hoja kwamba mnagombea kitu gani, na sisi tulianzisha UKAWA kwa kusema kwamba tutafute nchi, serikali na dola inayowajibika ambayo inatengeneza mambo vizuri, inatumia rasilimali vizuri itapambana na ufisadi na itajenga demokrasia ya kweli katika nchi yetu, ukiwa na misingi hiyo kwamba utataka kiongozi ambaye anaunga mkono misingi hiyo na tulikuwa wote kwenye bunge la katiba na Mh. Edward Lowassa alikuwepo kwenye bunge hilo hakuwa mmoja ya wabunge aliyeunga mkono rasimu ya Katiba"

"Sheria ya vyama vya siasa inatoa mazingira magumu kwa vyama kuungana, CCM ilijihami kwa kuiweka sheria hii"- Profesa  Lipumba

"Niliandika barua ya kujiuzulu lakini sikupata kujibiwa niliombwa sana hivyo nikabatilisha uamuzi wa kujiuzulu nafasi yangu"- Profesa Lipumba

“Kitu kilichosababisha nikajiuzulu ni kukosekana kwa umoja ndani ya CUF”

"Sitampisha Lowassa kwenye uchaguzi wa 2020, CUF itamsimamisha Mgombea"

"Mimi niko CUF na ni mwenyekiti halali kwa mujibu wa Katiba na sina mpango wa kuhamia chama kingine"-Profesa Lipumba
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top