Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

UVCCM Arusha chupuchupu kuuana

Kwa mujibu wa mmoja wa WanaUvccm Arusha (Jina kapuni) amesema tukio hilo lilitokea jana baada ya Bwana Ezekiel Moleli kugoma kwenda alipo hamishiwa kikazi Dar es salaam na kung'ang'ania kubaki katika Ofisi ya Uvccm ya Arusha na wakati nafasi yeke inashikiliwa na Said Goha ambaye alikuwa Katibu wa Uvccm mkoa wa Lindi ambaye alihamisha kuja kuchukua nafasi ya Ezekiel Moleli.

Sasa ikatokea Vuta nikuvute kunabaadhi ya wanaUvccm wanataka Ezekiel Moleli abaki na wengine wanataka aondoke hapo ndipo balaa lilipokuwa. Embu angalia Vita hivi vya wanaUvccm Arusha.


Angalia Video live..
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top