Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS .... Diwani wa Chadema ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela



CHADEMA mkoa wa Mara tunasikitika kuwataarifu wanachama kuwa diwani wa kata ya Kiangasaga mheshimiwa Kichinda almaarufu Mzee wa protocal amehukumiwa leo na mahakama ya wilaya ya Tarime kutumikia kifungo cha miaka mitano jela kwa kesi ya katiba iliyokuwa inamkabili kuwa alichaguliwa kuwa mjumbe wa baraza la katiba akajitoa. Ni kilio kingine kwa demokrasia ya nchi yetu na ufanisi katika siasa za CCM.

Mwl Chacha Heche
Katibu wa mkoa Mara
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top