Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWENYEKITI WA MTAA WA FFU ARUSHA (CHADEMA) AJIUZULU NA KUHAMIA CCM

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa FFU kata ya Murriet Jiji la Arusha Anacletus Edward (CHADEMA) amejiuzulu nafasi yake, kuhama chama na kujiunga na CCM.


"Kuna hoja dhaifu inayosambazwa na wenzetu kua tunawaacha kwakua tumehongwa...tunawaomba muwapuuze kwani wakati tunakuja kwao hawakusema hayo, Rais Magufuli anafanya kazi kwa maslahi ya wanyonge hivyo tuna wajibu wa kumuunga mkono na sio kumpinga" alisema Mwenyekiti huyo.


Afisa Mtendaji wa kata hiyo Joachim Kisarika amethibitisha kupokea barua ya kujiuzulu diwani huyo na kopi ya barua ameiwasilisha kwa Mkurugenzi wa Jiji na kwa Afisa Uchaguzi wa Jiji.
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top