Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Shaka azidi kuchanja mbuga ..... Awajulia hali WagonjwaNdg:Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo 17/07/2017 ametembelea Kituo cha Afya katika kijiji cha Nguruka wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma.Akiwa Zahanati hapo Amekagua ujenzi wa  wodi mpya na kukagua wodi mbalimbali za zahanati hiyo,kugawa zawadi  kwa wagonjwa kisha akawahakikishia wahudumu wa zahanati Serikali itamaliza changamoto nyingine.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top