Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Wanawake wenye ulemavu wapewa somo
JUMUIYA YA WANAWAKE SHIVYAWATA TAIFA YAANZA MIKUTANO YAKE KUWAPA FURSA WANAWAKE WENYE ULEMAVU KUA NA UTHUBUTU WA KUTUMIA TALANTA ZAO  KUJIINGIZIA KIPATO


Mkutano wa pili sasa ambao una lengo la kuwakutanisha wanawake wenye ulemavu kujadiliana,kushauriana na kujifunza fursa mbalimbali lengo ni kuhakikisha kua wanawake wenye ulemavu hawaachwi nyuma

Tutasimama imara na tutaendelea kushikamana kuhakikisha wanawake wenye ulemavu nao wanashiriki fursa za kiuchumi na tunawajengea uwezo wa kujiamini kua wanawezaaaa

UMMY NDERIANANGA
MWENYEKITI SHIVYAWATA
MLEZI WA JUMUIYA YA WANAWAKE SHIVYAWATA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top