BREAKING: Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali pingamizi la Wabunge 8 waliofutwa CUF kutaka Wabunge wateule wasiapishwe na Bunge.
Wanachama wanaomuunga mkono Maalim Seif na wale wanaomuunga mkono Prof. Lipumba wamepigana wakiwa eneo la Mahakama Kuu ya Tanzania leo.
Post a Comment