Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS .... Makonda afunguliwa rasmi .... Agoma kuomba radhiTEF watangaza kumfungulia rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Tumesikiliza pande zote mbili na kugundua kuna sehemu ya mawasiliano katikati ilikatika na hivyo tumeona tuyamalize kwa manufaa ya taifa.

Makonda agoma kuomba radhi, kwa madai kuwa hakupewa nafasi ya kusikilizwa.

Licha ya mkutano wenyewe kumalizika kwa mvutano. Wasema wamuunga mkono Rais Magufuli kwa jitihada zake za kuwaletea wananchi maendeleo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top